Babu huo ugonjwa wa mapenzi achana nao kila mtu anaugulia kivyake moyoni mtu atajifanya jasiri nini lakini moyo ni kichaka anajua anavyoumia kuhusu mapenzi acha tu niyaamkie shikamoo mapenzi
Babu huo ugonjwa wa mapenzi achana nao kila mtu anaugulia kivyake moyoni mtu atajifanya jasiri nini lakini moyo ni kichaka anajua anavyoumia kuhusu mapenzi acha tu niyaamkie shikamoo mapenzi
Umri wangu mkubwa, ila katika vtu ambavyo nmewah kuapa havitakuja kuntingisha moyo ni mapenz.. nshakutana na vingi ila ukijua jinsi ya kuviface mambo madogo ukiweza kukuntroo mamlaka ya ubongo ndio kabsa..
Sasa mtu akatomb....e huko halaf roho ikuume kwan umet....mbwa wewe.. unadharau una take it easy maisha yanasogea
Wewe mtotongwa wa Obe.... Una bahati fulani inakunyemelea.... Mume wa kwanza alikuwa Mchawi ukamwacha.. Huyu naye anapenda kwenda kwa waganga... Sijui itakuwaje