Hii inasababibshwa na miamba ya chin kuvunjka along a fault(sudden slip on a fault), kuvunjika huku kwa ghafla, hii inasababisha seismic waves inayofanya ardhi itingishke haya mambo yanatokea kwenye miamba ya lithosphere mwamba wa chin kdogo ya uso wa dunia km km 50 mpaka 140