Sikia bibie we sote watu wazima, haina haja ya kuuzunguruka mbuyu na maneno ya kihengo, cz hata nitumie misamiati gani dhumuni ni lile lile..
umeona mjumba wote huu, nmechoka kulala km mlingoti, daily nakuona unapita hapa, leo nmeona nivunje ukimya.. kila ukipita mie hoi, hicho kijungu, kasura kako kazur kalikopambwa na macho lain, pua ya kikabacholi na huto tulipsi twako, navurugwa kabisa bibie..
Jamanininacheka mimi jamaniuna maneno sana, nakusikiliza mkuu ongea tu nilale mie
Madame S
Kitu live streaming...Teh teh teh.. raha ya maongez kuongea sehem tuliv, yanin kujibishana kama walevi wa komon, sogea huku tafadhali bibie
Kwan mie nyani bibie, vibaya hvyo..mie mke wa mtu jamani
Madame S
Kesho.. pitch ya emirates inawaka moto inatufungulia ligi yetu..Sanaaaa mkuu
Bila chenga.. kasi 4g kama tupo NASA vileKitu live streaming...
Hapana kwa kweli, nampenda peke yakeKwan mie nyani bibie, vibaya hvyo..
Cha mtu huliwa na mtu, chuma tu ndio huliwa na kutu..
Kama una usingiz kalale ndugu yangu.. hapa natafuta wa kupoteza nae muda sina usingiz hat chembe, ndio kama kumekucha vile
Umeona sasa mie sijakwambia unipende, mie ndio nakuzimikia thats y nakutongoza, ungenipenda wewe si ungekuwa unanitongoza ww bhana..Hapana kwa kweli, nampenda peke yake
Madame S
Enzi za utoto hizo... superstar lufufu mkandala.
Loh! Naona wapoteza mudawo!! Hata sikuelewi, muoneUmeona sasa mie sijakwambia unipende, mie ndio nakuzimikia thats y nakutongoza, ungenipenda wewe si ungekuwa unanitongoza ww bhana..
relax
Madame S
Teh teh teh.. unakula miuno ya paka chongo..
Anajua jinsi uchupa ulivyo hatar lazma aniombe kidume mwenzie.. aisee bora ukeshe unasolve caluculus kuliko kukesha chukuchuku, bila kiburudisho.Kwamba unashabikia hata wewe?
Madame S
...ha ahahaha, na Jeddah kakaa shetani anasubiri mtongozaneSiusogee hata hapa karibu, tunaongeaje sasa wewe uko makkah mie madina...
R.I.P huyu mzee alinifanya niinjoi zaid movie kwa kweli.. kipaji chake kilikuwa ni cha kutukuka..Ha ahhahahaha, Lufufu anaongea lugha zote kihindi, kijepu, kichaina , kibangla ili mradi tu utampenda
Teh teh teh.. na chai la ziwa..Paka chongo akikutana na samaki kirungumpweke yaani utamu kama chapati na karanga
Karibu bibie..
Madame S