Makapuku Forum

Usinile kisogo binamu safari hakuna unaongea hapa mara anko wako yupo ndani katekwa sijui mara watoto kama wanachama wa chadema nina moyonujue binamu

....aunt, huoni nilivyo mpole leo, nilikuwa ugenini kwa shululu na Tumosa sasa haka katoto kakubwa kakashika simu kacheze game la snake kumbe kamenifanyia usnitch kakaandika nisiyokubaliana naye maana yamekukasirisha. Naihitaji hii safari jameni
 
Binamu kwani anko wako hajakupa taarifa kuwa ametubu dhambi zake zote jaman halaf usiwasingizie wakina jj binamu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…