3/
Mexican Tetra Fish
Kwa wavuvi wazembe wa ale Feri hii ndio habari njema kwao wapige makasia hadi Mexico wakajivulie kiulaini samaki aina hii maana hawaoni hata ndoano ni sawa na kumsukuma mlevi tu
Siyo tu hawaoni bali hawana hata kajicho kamoja cha kuzugia
Ila wana uwezo mzuri wa kuogelea kwa kutumia water pressure
Pia ni wajanja wa kijificha kwenye mapango hivyo kuwasaka huko chini sio jambo dogo
.......