Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,981 Leo katika historia inawajia kwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya Karibuni sana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,982 Leo katika Historia 1971 - Roy Keane anazaliwa. Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,645 Aug 10, 2017 #258,983 Shunie said: Hivi naniiii amekuteka binamu lakini Click to expand... Acha tu aunt , hawa watekaji inawezekana ndo waliomdanganya Hawa kule Eden
Shunie said: Hivi naniiii amekuteka binamu lakini Click to expand... Acha tu aunt , hawa watekaji inawezekana ndo waliomdanganya Hawa kule Eden
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,213 Reaction score 9,334 Aug 10, 2017 #258,984 wapi likes zangu wajameni
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,985 Leo katika Historia 1973 - Javier Zanetti anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Leo katika Historia 1973 - Javier Zanetti anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,986 Leo katika Historia 1973 - Lisa Raymond anazaliwa. Ni mcheza Tennis toka nchini Marekani.
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,645 Aug 10, 2017 #258,987 lee empire said: Weee waache ntawapiga makwezi kama yule kiboro dindaz .... Mimi nshaacha kabisa sitaki kumkera mke wangu nimetulia nimetulizwa sasa hao wanaongea watasema wanayatoa wapi... Me and only shunie ...nakupendaa jamanii .. Click to expand... Hizi ahadi Cheusi M ulimwambia hadi ukamwandikia nyimbo
lee empire said: Weee waache ntawapiga makwezi kama yule kiboro dindaz .... Mimi nshaacha kabisa sitaki kumkera mke wangu nimetulia nimetulizwa sasa hao wanaongea watasema wanayatoa wapi... Me and only shunie ...nakupendaa jamanii .. Click to expand... Hizi ahadi Cheusi M ulimwambia hadi ukamwandikia nyimbo
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,988 Leo katika Historia 1975 - Ilhan Mansiz anazaliwa. Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uturuki. Ni ustaadh huyu jamaa
Leo katika Historia 1975 - Ilhan Mansiz anazaliwa. Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uturuki. Ni ustaadh huyu jamaa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,989 Leo katika Historia Ni siku ya Jeshi la Argentina.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 10, 2017 #258,990 Obe said: Ha ahahhahahaha, wewe ndo anko wangu wa ukweli, unajua kabisa wabaya wangu na wanajua unajua Click to expand... Bhinamu heshima kwako ...najua unaendelea vizurii
Obe said: Ha ahahhahahaha, wewe ndo anko wangu wa ukweli, unajua kabisa wabaya wangu na wanajua unajua Click to expand... Bhinamu heshima kwako ...najua unaendelea vizurii
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,645 Aug 10, 2017 #258,991 lee empire said: Bhinamu heshima kwako ...najua unaendelea vizurii Click to expand... Nashukuru sana anko, niko POA. Sijui wewe
lee empire said: Bhinamu heshima kwako ...najua unaendelea vizurii Click to expand... Nashukuru sana anko, niko POA. Sijui wewe
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,992 Kwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia Niite Jimena Jimenes Asanteni sana na nawapenda wote!!
Kwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia Niite Jimena Jimenes Asanteni sana na nawapenda wote!!
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2017 #258,993 Madame S said: Yupo, yupo tight kidogo wii Madame S Click to expand... Mfikishie salamu zangu
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Aug 10, 2017 #258,994 Jimena said: Mfikishie salamu zangu Click to expand... Zimefika dada yetu mpendwa Madame S
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 10, 2017 #258,995 Jimena said: Kwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia Niite Jimena Jimenes Asanteni sana na nawapenda wote!! Click to expand... Asantee auntie
Jimena said: Kwa hisani ya matokeo ya uchaguzi huko Kenya sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia Niite Jimena Jimenes Asanteni sana na nawapenda wote!! Click to expand... Asantee auntie
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 10, 2017 #258,996 Obe said: Nashukuru sana anko, niko POA. Sijui wewe Click to expand... Niko poa ongera kwa kutekwa na kutekenya
Obe said: Nashukuru sana anko, niko POA. Sijui wewe Click to expand... Niko poa ongera kwa kutekwa na kutekenya
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 10, 2017 #258,997 Jimena said: Leo katika Historia 1971 - Roy Keane anazaliwa. Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd. Click to expand... Sikio halizidi kichwa Alitaka kumzidi ukubwa SAF akaishia kutimuliwa Vita yake uwanjani na Patrick Vieira ilikuw inaongeza utamu wa Man Utd v Arsenal .....
Jimena said: Leo katika Historia 1971 - Roy Keane anazaliwa. Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd. Click to expand... Sikio halizidi kichwa Alitaka kumzidi ukubwa SAF akaishia kutimuliwa Vita yake uwanjani na Patrick Vieira ilikuw inaongeza utamu wa Man Utd v Arsenal .....
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 10, 2017 #258,998 Madame S said: Zimefika dada yetu mpendwa Madame S Click to expand... Morning
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 10, 2017 #258,999 Jimena said: Leo katika Historia 1973 - Javier Zanetti anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina. Click to expand... Kachezea Inter zaidi ya mechi 700 Alikuwa nguzo ya Mourinho wakati Inter ikiitawala dunia .....
Jimena said: Leo katika Historia 1973 - Javier Zanetti anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina. Click to expand... Kachezea Inter zaidi ya mechi 700 Alikuwa nguzo ya Mourinho wakati Inter ikiitawala dunia .....
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Aug 10, 2017 #259,000 Madame S said: Zimefika dada yetu mpendwa Madame S Click to expand... Madame s,habar post using my macbook air using jamiiforums app
Madame S said: Zimefika dada yetu mpendwa Madame S Click to expand... Madame s,habar post using my macbook air using jamiiforums app