Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Sio akununulie wewe mpendwa wakeobe ukuje umnunulie mama ashura
Kwenda wapiAmkeniii
Acha kelele basi..Amkeniii
AminaKatika shida yangu nalimwita Bwana, Bwana akanijibu akaniweka panapo nafasi
Bwana yupo upande wangu, sitaigopa mwanadamu atanitenda nini?
ZABURI 118:5-6
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu
Katika shida yangu nalimwita Bwana, Bwana akanijibu akaniweka panapo nafasi
Bwana yupo upande wangu, sitaigopa mwanadamu atanitenda nini?
ZABURI 118:5-6
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu