T sio kama mzee wa kununaa... Nshakwambia mume wa Sakayo ni jembee... Haendeshwi na maneno
Nilivyoingia nikakuta comment kibao zenye viashiria vya uvunjifu wa amani ila kumbe mlikuwa mnataniana sasa nikafikiri mlilumbana ndo nikawa naelezea kwamba kutaniana humu ni kawaida na watu wasimind mambo madogo madogoKwani vipi bitooo
uko makini lakini kwenye amnaNi wa Transcend huyo
Naweka kumbukumbu tu hapa
Hahahasawa sawa
Mwanamke una dharau weweVP?!
Kuna something happened??!!
We mi nakupendea hizo supu za bata tu ila moyo wangu uko kwa obe
N.b kesho chinja bata MTU wangu nitakuja kumtengeneza
Aiseeeebugiaaa ongezaaa protein mwiliniii ,,kitu naturally tena cha motooo
ipo nilipooHahaha
Upooo
Wala Usijali mwaya..Nilivyoingia nikakuta comment kibao zenye viashiria vya uvunjifu wa amani ila kumbe mlikuwa mnataniana sasa nikafikiri mlilumbana ndo nikawa naelezea kwamba kitaniana humu ni kawaida na watu wasimind mambo madogo madogo
.....
Njoo uchukueeipo nilipoo
Basi jamaa puuzi kweliWala Usijali mwaya..
Samahani kwa kukupa wasiwasi, ilikuwa ni upuuzi wa lee Ule
Its peace and love now..Sawa ila imeibua hisia tofauti
Lengo langu ni kukumbushia tu kwamba humu watu kutaniana ni kawaida tu na kukwazana huwa sio lengo letu
Tukutane baadaye
.....
ndio kwanza uliingilia mda wangu ...na nilivomaliza niliagaAu ndio upuuzi wa Lee ule nn?!
HahahaBasi jamaa puuzi kweli
Limesababisha niingie chaka
.......
weeee ya shunie inatosha ..nitueeNjoo uchukuee
Siku nyingine tumpige tu makwenziHahaha
Ni mpuuzi si kidogoo, kakuta na mieee uhusika nauweza na nina mume jembee akaingia mitini
Basi jamaa puuzi kweli
Limesababisha niingie chaka
.......
Kwani Umejua ni nini labdaweeee ya shunie inatosha ..nituee
Mimi nimeacha siku nyingi sanaUmesahau wewe ndo ulinikaririsha
Utakuja nisaidia aiseeSiku nyingine tumpige tu makwenzi
.....