Kabla sijaja kapuku kumbuka nilikuwa siasani, mmu na kwingineko kote huko niko na friends, brothers and sisters... So Kuja kapuku hakunifanyi niwakwepe au niwachukie watu for nothing... Siweziiii acha taniana na watu eti kisa nina mume humu..
T atabaki kuwa mume wangu tu... Hayo unayotaka kuchunguza ni yako it's none of my business...