Leo katika Historia
1978 - Louis Saha anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Man Utd na Ufaransa
Ahsante sana ankaliLeo katika historia
Haina la ziada
Niite Jimena Jimenes kwa udhamini mnono kabisa wa nane nane
karibuni mjipatie Chia seeds kwa utajiri wa afya zetu!
Usikose kujipatia Chia seeds zako sasa
Kweli maisha magumu cuzoo mpaka nasahau sikuanko magu alegeze kidogo jaman kwahiyo upo busy na simu tu cuzoo hivi ndio tulikundisha hivyo lakini
Kweli atii tatizo hawajuani kwa Muda mrefu wengine kwenye uchumba tu tushachezea vibao vya kutosha
Leo katika Historia
1981 - Roger Federer anazaliwa.
Ni mcheza Tennis mahiri toka nchini Uswizi.
Sawa sawaNikimuelewa mimi inatosha
Tena mjukuu wangu mtu akikupiga unakimbilia kwa babu yako... Kesi tunafanyia kwangu
Ha haaaaa miaka mpaka mnafananaunajua kabisa hapa nikiingia nishamzoea huyu na tabia zake nikikosea kitu ni kipigo sio uchumba ndani ya miezi sita mmeshaoana woiiii
Ushaamka hubby
nikikufumania nakukomesha yani nakupa mapigo ya vumbi la kongo. lazima utulizane nyumbani.. nakufululiza daily
Umemuelewa lakini ivuga alivyomaanishaYani umeona hii ndo adhabu.
Hebu cuzoo ukuje umsikilize huyu saint Ivuga
Poa za weweNiaje wakuu
Wote mpo sahihi kiimani msibishane ndio maana niliandika
Kwa wasio waislamu wanaamini Mtume Muhammad ndio aliyeanzisha uislamu wakati kwa waislamu hawawamini hivyo wanaamini Uislamu ulikuwepo kabla yake yaani aliueneza tu au kuuendeleza yaani hakuanzisha kitu
Niwatakie Siku Njema
............
Fine Madame s
anakoroma kabisa ngoja ashtuke ghafla halaf aone upo jf unachat
Napewa divorce leo leo
na hatutakupokea mfyuuu zako
Dah cuzoo kwani nimeua lakiniii
we jitie jeuri tu
Kwani ndo mmenifukuza nyumbani au
Vumilia ndoa ujue usione wazee wetu mpaka leo wapo kwenye ndoa halaf ingia pm cuzoo
Nimemuelewa sana mi staki habari za vichomi kwa kweliUmemuelewa lakini ivuga alivyomaanisha
Nzuri kabisa, za siku mbili tatu hiviNzuri mkuu Shululu za kwako?