Makapuku Forum

Leo katika Historia

1983 - Robin Van Persie (RVP) anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, Man Utd pia hucheza timu ya taifa ya Uholanzi.
Katika Ubora wake, alikuwa moto wa kuotea mbali kwenye swala zima la kufumania nyavu.
Babu Wenger alichemsha kuwauzia Mashetani silaha Kuna asiyejua goli kali alilowapiga Hispania pale Brazil 2014?
Jamaa alijibebea Tuzo ya Puskas
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…