Pamoja na madhara yote hayo ya Hiroshima, Marekani ikaona haitoshi wakaja kuachia bomu kubwa zaidi ya hilo siku tatu baadae katika mji wa Nagasaki na kulipa jina bomu hilo kuwa ni ' Fat man 'Hiroshima na Nagasaki, liliathili hadi kizazi cha watu wa Japanese
Mpelekeni akafanyiwe Acupressure therapy sasaBafetimbi anajua sana kufunga, tatizo ana matatizo ya moyo
KaribuAsante kwa leo katika ankali JJ
Miss u zaidi swaiba! Long time sana hujatokea hapa!Duh!! Ndugu zangu mpoo mnaendeleza kurudumu.. hongeren sana kapukuz wenzangu, wapi jimena, wapi bitoz, shululu, quigley, mussolin, baily chwiti pie na wengine kibao mc u mnoo guyz...
Once a kapuku alwayz kapuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yeye ndio aliondokaga nae eeh????Poa kabisa ndugu yangu
Sweetiepie ulimpeleka wapi aisee
Hahahahaha
Alisema anaenda mapumziko ya kuleaHivi yeye ndio aliondokaga nae eeh????
Ila kwa mapanki wamenyoosha mikonoPamoja na madhara yote hayo ya Hiroshima, Marekani ikaona haitoshi wakaja kuachia bomu kubwa zaidi ya hilo siku tatu baadae katika mji wa Nagasaki na kulipa jina bomu hilo kuwa ni ' Fat man '
Hawa watu Mungu anawaona aisee
Niko poa kabisa, vip pande hizoNimekusoma tu ukisema nimezimika! Ha ahahaha, chezea kale ka kinywaji kenye 5.9 ABV, lazima nizimike sasa najiwasha mapema
Umeamka salama lakini?
Hahaa.. akirud atakuwa muhenga tayar.Hahahahaha
Atakuja tu huu uzi haujawahi kumuacha mtu salama
Hajamaliza kulea naamla mimba duble duble.. kama mpemba vile mwaka mimba, mwaka mtoto..Alisema anaenda mapumziko ya kulea
Hongera sanaHajamaliza kulea naamla mimba duble duble.. kama mpemba vile mwaka mimba, mwaka mtoto..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mdauView attachment 559130Mwisho
Nawatakieni wote jumapili njema
Pamoja sana mdauAhsante mdau
Naona habari ya Bashite imepotezewa
Jumapili Njema
......
Leo katika Historia
1825 - Bolivia yajipatia Uhuru wake toka kwa Spain.
Mfalme alitegenea leo angevuma front pagePamoja sana mdau
Wameipotezea sana tu
Nawe pia
Leo katika Historia
1914 - Serbia yatangaza Vita dhidi ya Ujerumani kuelekea Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
Baba D nakusalimia tu mimi jamanHeshima kwako binamu wee kila siku kama sio wa mwisho kujibu bhas wa mwisho kuona kwani yule Joy ulimwona mapema pasipo kuoneshwa mwishowe ukamuelewaa pasipo kuelewaana ..
Sikumtuma D akupe ujumbe japo na wewe sijui P alipotea njia ??
Ahahhaha binamuMimi hapa anko niko macho! Au nimechelewa kujibu? Si unajua mimi ninakuwaga wa mwisho kujibu