Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Naona tumebaki wenyeweHahaa
Naona tumebaki wenyeweHahaa
MwenyeweAmigos..!
Voy a estar fuera de jamiiforum por algunas veces.
Hasta luego.
I meant this.. [emoji116][emoji116][emoji116]Mwenyewe
Ulishindwa nini kuandika hivyo.... Mkojo wako unahitajikaI meant this.. [emoji116][emoji116][emoji116]
Friends
I will be out of jamiiforum for sometimes..
See you again.
Kuna ng'ombe amevimbiwa kwani?Ulishindwa nini kuandika hivyo.... Mkojo wako unahitajika
Tuliongea kuhusu nyama choma leo sijui tutaenda ila siku haijaisha mpaka sa 1kitu kama hichoo
EeeenhKuna wakati kuku anatakiwa awe chini ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mko vizuriiii...
Ahahah kweli jamaan Baba D angekuwa kama msechu mbona ningemnyima hata chakula ili apungueHahaha
Najua hata chongo utasema kengeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Utani bhanaa... Ila wanafanana ujue
Ewaaaaa upo kama mimi ila isiwe kama ya ruge aiseeRuge ni handsome zaidi bhanaa... Haha mieee huwa nazimiaga wanaume wenye sura za Baba
[emoji23][emoji23][emoji23]Heheee...
Inabidi akikubali tuu
Polee jaman mondray si una bae lakini au bae geishaIla nyie hzo story zenuu banaa,
Shauli zenuu
Kweli dada ujueKomaaa
Kumbe nilijua sura kama ya ruge [emoji30]Umemuona Ruge ana kitambi wewe
MmmhNgoja nikikubofya baadaye utasema tuu
Kweli mapenzi yana nguvu jaman [emoji134]Akome kabisaa kutaja vitambi