Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hahahaaa....Nakipenda jaman ila sitaki kizidi
Hahahaaa....Nakipenda jaman ila sitaki kizidi
Halafu lee ndo alikuwa anashangiliaUlikuwa mpole jamaan
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Halafu lee ndo alikuwa anashangilia
Ahahha anione aisee si kwa ubonge huo ulionao THahahaaaa!
Sakayo anakuona
Ila mimi sio bonge kama weweuko vizuriiiiii
We mwache tuuHahahaaaa!
Sakayo anakuona
Najua ulishaona.....[emoji41][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kitu gani tena T
Wapo wengi bhanaNo!
You got them wrong.
leoo mbona utanchokaaaa...alafu bro alinmbiaa mnaendaa kweli au bangiii zakeeUwahi kurudi basi Baba D sitaki kusikia mambo ya kutekwa mie
Nyama choma auleoo mbona utanchokaaaa...alafu bro alinmbiaa mnaendaa kweli au bangiii zakee
HahahaDada sakayo pole jaman kwa kuwa na shemeji kama msechu [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we umemzidiIla mimi sio bonge kama wewe
WoyoooWeweeeee!
Mimi mwembamba ! Mimi ni 1GB
Miss you more bby ake
Poa......mbona bby wangu yupo jamaniMambooo..
Mpemba yuko wapi?
Eeerh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we umemzidi
kitu kama hichooNyama choma au
Kuna wakati kuku anatakiwa awe chini ujueCha muhimu position tuu...!
Kuku wako unamuweka juu ya meza wewe unakaa kwenye kiti unamla taratiiiiibu tuuu [emoji3][emoji3][emoji3].
Oooh bongee ! Oooh bongee! Kumbe mtekenyo wa korea.. [emoji125] [emoji125]