Makapuku Forum

Makapuku Forum

Na mama kipenzi navojua bidii Ya mchwa ni Kujenga Nyumba Kwa Mate Yake.......
Hivo hivo
mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake; Ila Mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Dada sakayo unamsoma shemeji yako lakini natamani kucheka shunie me ila kwa ujio huu wa neno jamaan acha tumshkuru Mungu tu [emoji120]
 
Back
Top Bottom