AsanteTOP TEN
Week end huanza ijumaa ila kwa huku Uswahilini kwetu kila siku ni week end ila siku hizi gongo/pombe mchana marufuku,bangi nayo ishakuwa dawa ya kulevya,kucheza pool table nako kuna masharti bila kusahau vigodoro vishapigwa marufuku....stress tupu
Kama kawaida yetu week end hakuna siasa wala nini ni kush lawadu zaidi
Tuangalie wacheza filamu 10 matajiri wa kiume(actor)
Ieleweke utajiri wa mtu ni tofauti na umri hivyo hupanda na kushuka pia hutofautiana kwenye source/vyanzo vya habari hivyo niandikacho ni kutokana na chamzo kimoja nilichokichagua
Hivyo mimi sio auditor ......niandikacho sio sheria
karibuni
.........
6/Jack Nicholson
Ana umri wa miaka 80
Ni mcheza filamu,mwongoza filamu na mwandika script mahiri
Kacheza filamu kibao ikiwapo ya The Shining ambayo ilivuma
Ni mshindi wa The Academy Award na tunzo zingine kibao
Anatajwa kuwa na utajiri wa USD 400 Milion
..................
Zitaendelea baadaye
Nzuri kabisa mama watoto wanguHbr ya Jion wapendwa
AiseeNamba 9.
Brahma.
Hii ni beer ya brazil na ilianza kutengenezwa 1888. hii beer in alcohol ya 4.3% na 5%
Brahma chop.
inatumika sana brazil na america kusini.
Cc shunieNamba 7.
Heineken.
Hii beer ya iligunduliwa mwaka 1864, na Bw, Gerard Heineken nchini Uholanzi. Hii beer ilikuwa ni ya pili kwa mauzo duniani mwaka 2015, ina kilevi cha 5% . hii bia ni tamu na ni kati ya bia nyepesi.
hapa nimedaka wengi .
Asante kwa kumi kubwa1/Jerry Seinfrldana umri wa miaka 64
Ukiangalia filamu zake unaweza kufikiri ni kubwa jinga tu kama Le Mutuz ila elewa ni maogizo tu na ndo kazi inayomweka mjinii
Ana madili kibao
Anatajwa kuwa na utajiri wa USD 850 milion (now ushafika km dola 1 bilioni)
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
Nimekipata ila sio kama nilivyo tegemeaVizuri shemeji, najua hapo kuna kitu umekipata