Huo ni uchovu wa beach na shemeji yangu linamoMtanisamehe leo sitachimbua makaburi ni mbele kwa mbele no nyuma geuka
Karibu NyageiNatumai nyote mu wazima kabisa humu ndani
Muwe na jioni tulivu
Ngoja shunie ajeAsee nimesahau nilipoishia kwenye ile "son of GU"
Wa lollipop ya kijitiMguno veepe
Nipo nae Baba D hata usiponiona kapuku nilipo yupo alipo nipo mimiPambana mdogo wangu... Usiwe unacheza mbali na lee
Nipo hapa jamaanUnaenda wapi kwa mfano
Ahahhh itakuwa aiseeNa Mie najishtukia ujue
Kwa mama ashura tena shemela binamu anipeleke kufanya nini tena jamanPambana aisee, hivi Obe alikupeleka kwa mama ashura
Mmmmh
Ujue yeye ndo kamuita babu... Jana si nilikuambia lakinii Usiku
Haya ndio mamboMtanisamehe leo sitachimbua makaburi ni mbele kwa mbele no nyuma geuka
Sawa mdauHii topic nzuri sana..
Manake mimi ni mdau wa vitabu sana
Aiseee kama uliishia ya 7 hivii ebu weka ya 8 kwanza tuone ujue unatuchanganyaAsee nimesahau nilipoishia kwenye ile "son of GU"
Niko apa mume za wewe usitukimbie hivyo jamaanWakuu mko poa ??
Namtafuta mama D na kivuruge wake