Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ule mkwara sasa hivi uingieNakupenda ulivyo muoga tuu

Ule mkwara sasa hivi uingieNakupenda ulivyo muoga tuu

Napambana na mahusiano yangu ujueMmh dude linataka kuamshwa
Hahahaaa!
Nahisi shumie aliacha khanga
Babu kakuja hukuAmen
Anza za Leo mchanaa... Babu Asprin kaja ujue
Nikizungumzia mahusiano Baba D namaanisha ya shunie na lee unaendeleaje lakini kipenda roho changu nakuhamu tu miesasa mama d ata saklaam hamna kwelii kuna amanii kwelii mahusianoo yakoo si ndo yanguuu au

Mmmmhbadooo makee kaja emeonaa alipofikiaaa
umeonaaa ulivo mchocheziiii wakati umeanzishaaa weweWoyooo
Hahahaaa...Mbutaa
huyuu ndo mbaya wetuuDada jamaan
Akuuila si unashushiaaa gizaniii
AiseeMpe pochi yake
Asante Bitoz mambo yangu haya nipo mbele kabisaTOP TEN
Leo naona kuna Mndali,Husna na Sakayo wametimba kijiweni....It's good ni watu wa nguvu kwa kuchangamsha jukwaa bila Clkey ambaye ana siku ru za kuvizia,Shunie nae akiibuka patakuwa noma
Sijamsahau na kibabu kinachoitwa vidonge vichungu{Asprin) naona katimba![]()
Hadpa Bongo nawakubali Ben Mtobmwa[] kwahngu ni mwandishi bora wa Riwaya bila kumsahau mzee wal ushairi Shaaban Robertnamwelewa sakgna achana na hadithi feki za Eric Shigongo ni nzuri ila asieleweki mwisho wake
Jwa Afrika nawakubali Wole Soyinka,Ngugi wa Thiong'o bila kumsahau Okot P'bitek
Sasa tuangalie watunzi 10 ambao maandiko yao yalipata mafanokio makubwa duniani either kimauzo au kubadili fikra za watu au pengine vitabu vyao viliweza kuteka watu km mateka vitani
Karibuni
..........
YeeeduuuMpaka moyo wangu nilimwachia
wewe ulivompigiaa umemwambiajeeMmmmh
Leo sijui niweke jina langu hapa kabisa..?Mmh dude linataka kuamshwa

Ni nini hiyo ya kushushia gizaniiiila si unashushiaaa gizaniii
Hajambo sana, anawamisi tu na hivi ana umbo la kimiss basi alhamisi utamuona humu
