.....mimi najua huwezi kunisikiliza maana ni mmoja ya wale ambao huwa nawaangalia kwa mashakamashaka. Hivi mimi sina hata ushauri mzuri hata mmoja jamani?
Ila now jukwaa limebadilika kidogo hakuna umbea wala majungu
Yaani siku hizi hazungumziwi mtu/watu fulani wala kikundi fulani cha watu
Pia hatuizungimzii thread fulani wala yoyote hsta kama inatusimanga Tunapambana tu na hali zetu
..........