Makapuku Forum

1/World War II
Hii vita ndo iliyosababisha kuanguka kwa utawala wa maswahiba na wababe wawili wa dunia kipindi hichi Adolf Hitker & Benito Mussolin kwani wakati wakielekea kushibdwa vita wote walipoteza maisha(kijiua/kuuawa)
Ilipigwa kati ya mwaka 1839 na 1945 tena karibu dunia nzima hivyo kramsababisha ndororo wa uchumi
Siandiki maneno nengi maana ilishaekezwa kupitia Leo katika historia juzi tu hapa kutoka kwa mkali Jimena...ukipebda kafukue fukue usome

Inakadiriwa isdadi ya vifo ilifika 70,000,000
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
............
 
Asante usiku mwema na kwako
 
Hoping tuko poa kabisa wadau. Kipengele cha muziki kitakujia baada ya kubwa 10, naamini itachukua dakika 15 na usiku huu tutadunda ndani ya elo o' vii ii.

Nyie ni watu muhimu so hakuna cha surprise ni surplus tu humu KF
 
Asante kwa kumi kubwa
 
hii ya III itachukua 100+
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…