Wanakataje tamaa wakati timu aliikuta na ataiachaWachezaji kadhaa wa Barcelona 'wamechoshwa mno' na sakata linaloendelea kuhusu uhamisho ambao huenda ukavuja rekodi ya dunia wa Neymar kwenda PSG, huku wengine wakiwa wamekata tamaa licha ya kumshawishi mchezaji huyo asiondoke. (SPORT)
AiseeDOD YOU KNOW ?
Kuna watu duh
Huyu ndiye kasaidia Jamii
Siti ya mbeleTOP TEN
Wakati bwana yule akiwa na mgogoro na Wazungu kuhusu madini wakishindwa kupatana wataingia vitani kwa kupigana mabomu au vita ya uchumi ya kimyakimya
Sitaki kujifanya na kiherehere kuhusu suala hilo maana sio nia yangu
Vitaisikievkwacjirani tu ni mbaya husababisha vilema na mauti ...kilichotokea Rwanda wakati wa mauaji ya Kimbari kila mtu anajua
Sasa leo tuangalie vita kumi za kibabe zilizosababisha vifo vingi duniani
Hakuna cha Vita ya Majimaji wala Vita ya Kagera
Karibuni
............
Cjambo shikamooHujambo mjukuu mwee?
Npo ndgu yngu Huchna atakuwa katekwa na majukumu,hbr ya uzima BitozT kumbe upo
Where is Husna ?
....
Na kupitia viporo vya nyumaWapo na majukumu
Mi mwenyewe kuingipa humu na tym maalumu
Ila Husna anaweza hata siku mbili asiibuke ni kawaida yake na akiibuka full post
........
Viporo nimeacha shem.
Ni salama kabisa kina JJ wazima?
Mama jj nini tena?
Baby wa smart911, how is wewe?
How r u!!!
AiseeMeneja wa Chelsea Antonio Conte anataka kumsajili kiungo wa Leicester City Danny Drinkwater, 27, baada ya Nemanja Matic kwenda Man Utd. (Mail)