shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 1, 2017 #252,821 mzeewakungoa said: Sikatai kupewa siti.... Lakini kati ya Mimi na Obe nani kapata siti ya mbele? Click to expand...
mzeewakungoa said: Sikatai kupewa siti.... Lakini kati ya Mimi na Obe nani kapata siti ya mbele? Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,822 Leo katika historia itawajia hivi punde tu kwa udhamini wa Chia seeds Kwa bei ya shilingi elfu 10 tu jipatie chia seeds zako sasa
Leo katika historia itawajia hivi punde tu kwa udhamini wa Chia seeds Kwa bei ya shilingi elfu 10 tu jipatie chia seeds zako sasa
mzeewakungoa JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,969 Reaction score 13,920 Aug 1, 2017 #252,823 lee empire said: Unaonaaa ... Unataka unichonganishe na binamu wang wa faida Click to expand... WA faida wakati yeye amekuwa kama scavenger.... Anafuatilia michepuko yako... Wakimkubali anapiga kimya.... Wakimkataa anakuchongea kwa Shunie
lee empire said: Unaonaaa ... Unataka unichonganishe na binamu wang wa faida Click to expand... WA faida wakati yeye amekuwa kama scavenger.... Anafuatilia michepuko yako... Wakimkubali anapiga kimya.... Wakimkataa anakuchongea kwa Shunie
mzeewakungoa JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,969 Reaction score 13,920 Aug 1, 2017 #252,824 Obe said: .....hanahahahah, morning! Mimi na anko timu moja, yaani hatuna ubaya sema wewe ndo mbaya wetu Click to expand... Kikulacho....?
Obe said: .....hanahahahah, morning! Mimi na anko timu moja, yaani hatuna ubaya sema wewe ndo mbaya wetu Click to expand... Kikulacho....?
mzeewakungoa JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,969 Reaction score 13,920 Aug 1, 2017 #252,825 lee empire said: Wewe tunakuandika kwa makiiiipeeen Click to expand... Sawa... Obe mwandike kwenye bango
lee empire said: Wewe tunakuandika kwa makiiiipeeen Click to expand... Sawa... Obe mwandike kwenye bango
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,826 Leo katika Historia Ni tarehe 1 mwezi 8 Mwaka 2016. Imebaki miezi takribani minne kabla ya mwaka huu kuisha. Karibuni tuanze historia yetu sasa..
Leo katika Historia Ni tarehe 1 mwezi 8 Mwaka 2016. Imebaki miezi takribani minne kabla ya mwaka huu kuisha. Karibuni tuanze historia yetu sasa..
mzeewakungoa JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,969 Reaction score 13,920 Aug 1, 2017 #252,827 lee empire said: Hivi unaonajee kipapaii kwa huyu vip Click to expand... Mimi nataka papai kubwa kipapai hakitoshi.
lee empire said: Hivi unaonajee kipapaii kwa huyu vip Click to expand... Mimi nataka papai kubwa kipapai hakitoshi.
Jagood JF-Expert Member Joined Aug 15, 2016 Posts 2,140 Reaction score 2,388 Aug 1, 2017 #252,828 Shululu popote ulipo asante kwa dondoo za magazeti na j4 njema wana Jf
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,829 Leo katika Historia 1876 - Jimbo la Colorado latambulika rasmi kama jimbo la 38 huko nchini Marekani.
Leo katika Historia 1876 - Jimbo la Colorado latambulika rasmi kama jimbo la 38 huko nchini Marekani.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 1, 2017 #252,830 Jimena said: Asante kwa UF BBC na Hadithi ankali Click to expand... Karibuu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,831 Leo katika Historia 1914 - Ujerumani yatangaza rasmi vita dhidi ya Urusi na hivyo kupelekea Vita kuu ya kwanza ya Dunia kuanza.
Leo katika Historia 1914 - Ujerumani yatangaza rasmi vita dhidi ya Urusi na hivyo kupelekea Vita kuu ya kwanza ya Dunia kuanza.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 1, 2017 #252,832 mzeewakungoa said: WA faida wakati yeye amekuwa kama scavenger.... Anafuatilia michepuko yako... Wakimkubali anapiga kimya.... Wakimkataa anakuchongea kwa Shunie Click to expand... Wewe unachoongeaa namfanyia mm binamu wangu
mzeewakungoa said: WA faida wakati yeye amekuwa kama scavenger.... Anafuatilia michepuko yako... Wakimkubali anapiga kimya.... Wakimkataa anakuchongea kwa Shunie Click to expand... Wewe unachoongeaa namfanyia mm binamu wangu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,833 Leo katika Historia 1960 - Nchi ya Dahomey yajitangazia Uhuru wake toka kwa Ufaransa. Dahomey ilikuja kufahamika baadae kama Benin.
Leo katika Historia 1960 - Nchi ya Dahomey yajitangazia Uhuru wake toka kwa Ufaransa. Dahomey ilikuja kufahamika baadae kama Benin.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,834 Leo katika Historia 1960 - Mji wa Islamabad watangazwa rasmi kama mji mkuu wa Pakistan.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 1, 2017 #252,835 mzeewakungoa said: Sawa... Obe mwandike kwenye bango Click to expand... Siwez ana siri zangu kibaoo
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,836 Leo katika Historia 1961 - Waziri wa Ulinzi wa Marekani anashauri kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani na kufanya Marekani kuwa nchi ya kwanza yenye kutumia ujasusi wa Kijeshi.
Leo katika Historia 1961 - Waziri wa Ulinzi wa Marekani anashauri kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani na kufanya Marekani kuwa nchi ya kwanza yenye kutumia ujasusi wa Kijeshi.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,837 Leo katika Historia 1981 - Televisheni ya MTV yaanza rasmi kurusha matangazo yake huko Uingereza.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,838 Leo katika Historia 1924 - Mfalme Abdulla wa Saudi Arabia anazaliwa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,839 Leo katika Historia 1970 - David James anazaliwa. Ni golikipa wa zamani wa England.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 1, 2017 #252,840 Leo katika Historia 1976 - Nwanko Kanu anazaliwa. Nyota wa zamani wa mpira wa miguu toka nchini Nigeria aliwahi kutamba na timu za Ajax, Arsenal na Portsmouth.
Leo katika Historia 1976 - Nwanko Kanu anazaliwa. Nyota wa zamani wa mpira wa miguu toka nchini Nigeria aliwahi kutamba na timu za Ajax, Arsenal na Portsmouth.