I am so sorry..Ujue Nakupenda mdogo wangu.... Sio kwa kunifariji kule
Sakayo kawaje tena?Umeona Baba D huyo ndio sakayo tuliyemzoea mwenye roho ya baba sio yule mpole wa jana
Yes mkuu..Aisee Forodhan pako shwarii joh..Porini wamekurudishia simu?
Ooook ...Nimemaliza mda sana na pics nilishatuma naona umezima data ila jf upo
Sijaaminiii kma kaandika yeyeUmeona Baba D huyo ndio sakayo tuliyemzoea mwenye roho ya baba sio yule mpole wa jana
Kwema mkuu, za RukwaMkuu..
Kwema?
NzuriHabari zenu wadau...leo nimepita huku kuwasalimu
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Dpgo unatusalimia halafu umeweka sura ya kikauzu
Sijui tutakuitikiaje
Enewea tupo njema
....
No...!Duu hv porini mnafuata nini? Kuna nini..I THOUGHT UR A COMRADE.
EwaaaKula ushibe mama! Nakujaa....
Chaga za kitanda hazijalegezwa muda sasa
Nikuforwadie wapiiiii pm umefunga
Ujue ungemuua ana week hali kitu
Mie nakufwa kwa ajili yakoo
I can't do thatNi joke Husna usimind... Obe kwako kafika... Hana njia ya kutokea.... Labda ummwage wewe