Anko, umeamka salama naamini. Hata mimi pia. Huyu
Curious gal nilitaka kumwambia kuwa mimi niko na mdada ninayemfurahia upeo yaani akiomba tano anapata kumi akiomba moyo nampa roho, akikohoa mimi natema, akiniambia nikachekee chooni mimi nachekea kwenye tundu kabisa. Na akisema ninawe uso mimi naoga kabisa na akisema hapendi jino langu la njano mimi naling'oa kabisa.
Sasa nitamwambia nini yeye kwa mfano