Ooooooh ngoja nikukumbusheee ....PM ni nini tena anko, kuna member mpya anaitwa pm jamani? Mbona mimi ninakuwa wa mwisho kujua mammbo mazuri mazuri? na kwani huyu pm asifunguliwe, nani kamfungia nje?
Siwezi kumtesa kabisa kwa hilo nakuhakikishiaUsimtese basi shem wangu
Nitamshkuru Bwana kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu
Nitafurahi na kukushangilia wewe, nitaliimbia jina lako, wewe uliye juu
ZABURI:9:1:2
Muwe na asubuhi iliyo njema mbarikiwe sana
Kwema kabisa, vip chugaJamani kwema hapa
Wahenga hawakukosea waliposema nabii hakubaliki kwao
Oh, kulikuwa na typo nyingi sana nimerekebisha. Kung'oa yupo mzee humu ndo kazi yake, njoo chemba nikupe namna ya kujikinga naye
Shida kwelii kweliiiHuyu kansiime hapana aisee
AiseeHivi ulisema list yako ndo yangu ..??
Maana kwa sasa list yako hiko hivii
Tumuongeze nan hapo ??
Ila sio shikamooBaba D nakusalimia tu mimi
Kwani kuna tatizo gani Rafiki kipenz... Yeye ameeleza hisia zake za ukweli... Hajasema anamtaka amesema anampenda tu kama wewe unavyompenda Christiano Ronaldo.Umetumwa wewe ????
Sasa neng'enekwaa utaona mwisho wako
KitamboooKwani wameshakuwa wapenzi
Aiseee me ndio mbaya kuliko wote mpaka kuandikwa na makapeni we binamu obe nashkuru sanaHivi ulisema list yako ndo yangu ..??
Maana kwa sasa list yako hiko hivii
Tumuongeze nan hapo ??
Wewe upo kwenye list yetuuuKwani kuna tatizo gani Rafiki kipenz... Yeye ameeleza hisia zake za ukweli... Hajasema anamtaka amesema anampenda tu kama wewe unavyompenda Christiano Ronaldo.
Kwahiyo binamu umefurahi kabisa me na we si tuliingia mkataba haya yanatokea wapi tenaHa ahahaahahah, nasubiri watoto wa shululu na Tumosa niwaongeze kwenye list, kwa sasa muweke mzeewakungoa
Morning ShululuMorning family
Ndo nashangaaa wakati safari ulikuwa unataka iwe nane naneAiseee me ndio mbaya kuliko wote mpaka kuandikwa na makapeni we binamu obe nashkuru sana
Ata mkeo unamwandikaNaomba kama kuna mwingine niambie nifanye updates kwa leo tuwatangaze kwenye uwazi
Cc shemela shunie....yaani unamsifu mtu ambaye anakuwa mwaminifu kwa mtu mmoja tu? Lol, kimaadili timilifu ukiwa mwaminifu kwa mtu mmoja huwezi kuwa mwaminifu.
Kuwa mwaminifu ni lazima uwe mwaminifu kwa wengi..
Serious Note: Haya maneno ya juu sijaandika mimi, msijenipakazia kwa la habibti wangu. simu iko nachaji kwenye kibanda cha mpesa
Mm nina copy originoooo anayo yeyeeKwahiyo binamu umefurahi kabisa me na we si tuliingia mkataba haya yanatokea wapi tena
Asantee mbaya mimi binamu tutaonanaNakumbuka
Hivi wabaya wako si ndo wangu ?? Tofauti na shunie sio mbaya kwangu ila kwako mbaya na husna mbaya kwangu ila kwako mzuri ...naandaa list ya pamojaa