Ila weweeeeBinamu yangu mpenzi sio mimi kabisa hivi naanzaje me kukuchafua jamaan ni anko wako alishinda na simu yangu ndio amenipa muda si mrefu naomba tu umsamehe binamu yangu kwa niaba yangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana moyo aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wekaaa baaabaaaa boxer watu watabadilishaa
Asante binamu....Muziki: Gospel Sunday
Naimani umekuwa na jumapili nzuri na umeshajiandaa kuikabili wiki mpya kabisa ambayo ni ya mwezi mpya. Ikiwa hujaiona siku yako ya Jumapili usihofu, unakaribia kuingia mwezini, mwezi mpya wa August ambao ni mwezi wa Simba.
Ninakusalimia Kapuku mheshimika na kama ada, jumapili tunaburudika na Gospel kwa muda baadaye tunaendelea na nyibo za watu wa mataifa.
Anaitwa Tauren Wells, burudika naye
[emoji134] [emoji134] [emoji134]...yaaani leo sipokei salamu yako maana umenichafulia jina sana, sasa hivi naandaa wanasheria 30 waje wasafishe jina langu na kuomba fidia.
Hujambo lakini,
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntawatumia picha kwa watsap ya dogo
SawaMimi kwenda tupendani gest house anapita kona kwangu shaka ondoa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nina mke alafu anajuaa haswaaa....sahau labda madenge
[emoji3] [emoji3] hakuna namna mpambane tu na hali zenuMpenzi wangu usisikize mambo ya pembeni, pambana na hali yetu kwanza. Au unasemaje
Binamu yangu mpenzi sio mimi kabisa hivi naanzaje me kukuchafua jamaan ni anko wako alishinda na simu yangu ndio amenipa muda si mrefu naomba tu umsamehe binamu yangu kwa niaba yangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mmh kwahiyo like akupe wewe tu acha kututania ujue
Sina neno ...
NzuriHatimae umerudi,hbr ya kupotea
[emoji1] [emoji1]Huyu nae viporo vingine uwe unaviacha loh
[emoji23][emoji23][emoji23]Uchuro sipendi
AiseeeMimi kwenda tupendani gest house anapita kona kwangu shaka ondoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntawatumia picha kwa watsap ya dogo