Makapuku Forum

Binamu asante jaman
 
[emoji524] Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, bali wapumbavu hudharau hekima na adabu

Mwanangu yasikilize mafundisho ya Baba yako, wala usiache sheria ya mama yako

Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako na mikufu shingoni mwako [emoji524]

MITHALI;7:9

Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…