Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Ahsante na siku NjemaNa kufikia hapo basi sina budi kukusanya kila kilicho changu katika meza hii ya historia
Kwa udhamini mnono kabisa wa Ximena's red wineweek end yako itakuwa murua ikiwa utakuwa utajipatia wine hii nzuri kabisa ambayo inapatikana katika ladha mbili sweet red na dry red ikiwa imesindikwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa kutumia zabibu halisi....
Niite Jimena Jimenes nawatakia week end njema na msiache kunipa order sasa ili mjipatie wine hii
Yaaan ni mtundu na boxer yakeNa sijuiii walikuwaa wapiiii
Ungeanguka jee ulikua unakimbia nini jamaanWa shuniee
Atujambo eden umeamkajeNawasalimu tu kwa jina la alie juu hamjambo habari ya asubuhi wanajukwaa
HBD JimLeo katika Historia
1963 - Jim Beglin anazaliwa.Ni mtangazaji na mchambuzi maarufu sana wa mpira hasa Ligi kuu ya England.
Leo katika Historia
1921 - Adolf Hitler anakuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi huko Ujerumani
Aliwahi kumpa mchezaji kadi mbili za njano kwenye mechi moja, cha ajabu alisahau kumpa red cardLeo katika Historia
1963 - Graham Poll anazaliwa.
Ni mwamuzi wa soka wa zamani toka nchini England.
ShemMorning
Ni wa India
Michael SchumacherLeo katika Historia
1981 - Fernando Alonso anazaliwa.
Ni mwendesha magari mashuhuri toka nchini Spain.
Asante kwa marekebishoBorn into the elite class Parsi family of India, the Tata family, he was the son of notable businessman Ratanji Dadabhoy Tata and Suzanne Brière, the first woman in India to drive a car. Muhammad Ali Jinnah, the founder of Pakistan, was married to Tata's niece, Rattanbai Petit. Tata became the first licensed pilot in India, in 1929. He is best known for being the founder of several industries under the Tata Group, including Tata Consultancy Services, Tata Motors, Titan Industries, Tata Tea, Voltas and Air India. In
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeYote yake shemela
Karibu!Asante cuzoo kwa historia
Njema na HatujamboNawasalimu tu kwa jina la alie juu hamjambo habari ya asubuhi wanajukwaa
Hivi daud si kwa kiswahili na davie ni kwa english kama vile mary na mariaAisee
RIP, Obe tuwekee huyu mpiga kinandaLeo katika Historia
1844 - Franz Wolfgang Mozart anafariki.
Alikuwa ni mpiga kinanda, gita na piano kutoka nchini Austria.
Ni mmoja kati ya wapiga piano bora kabisa katika historia ya Ulimwengu.
Pia alijulikana kama Little Mozart.
My pleasureAhsante na siku Njema
Ujue me sio mpenzi sana wa wine cuzoo jamaanKaribu!
Halafu leo ni weekend ujue usipoagiza lita 2 za mvinyo utakua hujitendei haki shauri yako