Namfahamu anavyopenda mpira nae kama mimi Yanga & Man UtdYaaani anaangalia mechi saa hii ndio namie naranda randa kwenye majukwaa
Madame S
Na hiyo man u ndio team yakeNamfahamu anavyopenda mpira nae kama mimi Yanga & Man Utd
Mi ndo naingia mida hii nakuta kupo doro
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Munich kachezea kipigoNamfahamu anavyopenda mpira nae kama mimi Yanga & Man Utd
Mi ndo naingia mida hii nakuta kupo doro
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Ndio zetuNa hiyo man u ndio team yake
tupo tupo hivyohivyo
Madame S
:Munich kachezea kipigo
Duh!
The best man for a woman to have in bed...[emoji16][emoji16][emoji23]...sorry for the strong language.
Mi wala sihangaiki hata likidoda sipati hasaraBitoz changamsha jukwaa mdau
Football ina maajabu yake aisee [emoji2] [emoji2] [emoji2]:Madrid nae kakungutwa 4 na Man Ciry
Yaani timu iliyotusumbua sisi kibonde wetu kajipigia ru
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Wekeni TV mbuliBitoz sipendi mpira hata kidogo u can try to imagine tunavyokua ikifikia kama hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madame S
Kunywa majiJamani mbona kapuku mwenzenu nna uchovu sana wa hisia ?????? Yani napata na hasiraaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app