Makapuku Forum

[emoji524] Bwana asubuhi utaisikia sauti yangu, asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia

Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya mtu mwovu hatakaa kwako

Wajivunao hawatasimama mbele ya macho yako unawachukia wote watendao ubatili

Utawaharibu wasemao uongo Bwana humzira mwuaji na mwenye hila

Bali mimi kwa wingi wa fadhili zako nitaingia nyumbani kwako na kusujudu kwa hiko nikilielekea hekalu lako takatifu [emoji524]
ZABURI:5:7
Natawakia asubuhi ili njema sana mbarikiwe sana [emoji120] [emoji7]
 
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…