Anafanana na jamaa aliyeigiza the great dictator ya Charlie Chaplin6/Joseph Goebbels
Alizaliwa 1897 na kujiua mwaka 1945 akiwa na umri wa miaka 47 Huyu alikuwa Kansela wa Ujerumani kwa muda wa masaa 5 pekee mwaka 1945 May 1
Wakati Vita Kuu ya Pili ikiendelea na Adolf Hitler kuonekana kuzidiwa akaamua kumteua swahiba wake Goebbels kuwa Kansela akiamini ni Waziri wa Propaganda ndo pekee anayeweza kumuokoa jahazi lake linalozama
Lakini hata kabla hawajaanza propaganda zao za Hamphrey Polepole wakagundua wamezingirwa hivyo kuamua kujiua
Jamaa kaonja ukansela masaa yasiyozidi matano pekee
.........................................
Zitaendelea baadaye
Ndio alafuu leo napata tamu tamuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baba D nimecheka sana aisee me na we si mwili mmoja
Nasi piaNimepita kuwasalimu tu...... Nawamiss
Najuaaa...nadowload watsap tang mchana 67%Hunie nimekumiss ujue [emoji8]
[emoji15] [emoji15] umekunywa nini leo Baba DNdio alafuu leo napata tamu tamuuuu
Watoto kalalenii au nenda majukwaa mengine
Toka mchana mpaka sasa [emoji134]Najuaaa...nadowload watsap tang mchana 67%
Ila nyie si wahenga ? Au wahengwaa
Mzee wa viporoooo kwenye ubora wako yaan we na mpendwa wa binamu shem hamna tofautiAnafanana na jamaa aliyeigiza the great dictator ya Charlie Chaplin
Kweliii netwok iko low ....ata picha hapa sioniToka mchana mpaka sasa [emoji134]
Umetumia lugha laini kweli shem waneBinamu obe leo utanisamehe tu binamu yako mie utafanyaje ndio binamu yako tena leo nachagua nyimbo mbili
Naomba nyimbo nyingine inaitwa libebe ya beka flavour
Nakupenda binamu yangu jaman
Asante shem wane ndio nilivyoUmetumia lugha laini kweli shem wane
Nimekukunywaaa weweee[emoji15] [emoji15] umekunywa nini leo Baba D
Shukrani mkuu1/Prince Luis Felipe
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Urenoaliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospitali tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi
Yaani jamaa alikuwa Mfalme kwa nusu saa tu
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
..................
Aisee pole sana si uachane nayo tuKweliii netwok iko low ....ata picha hapa sioni
Nitafanya nini sasa shem wane sina namnaMzee wa viporoooo kwenye ubora wako yaan we na mpendwa wa binamu shem hamna tofauti
Mmh nahisi kama umekunywa balimi jaman au upo na binamu obe container bar mana hayo uliyoongea si akili ya kawaida Baba D jamanNimekukunywaaa weweee
Vizuri sanaAsante shem wane ndio nilivyo
Nasikia husna yamemshindaa ya binamuMzee wa viporoooo kwenye ubora wako yaan we na mpendwa wa binamu shem hamna tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nilipewa salama zako na cuzoo anakusalimiaNitafanya nini sasa shem wane sina namna
Shukrani mtaasisi kwa good musicMuziki: Kwanini Isiwe Mbili Wakati Una Moja
Ni Jumatano leo na inaishiria, naamini hakuna ubaya nikijiaminisha kuwa umekuwa na siku nzuri sana leo ambayo ni mwangwi wa namna siku ya kesho itakavyokuwa. Kama haikuwa siku yako, worry not, kesho ni siku nyingine tena na kama ada, jua litawaka tena. usisubiri sana though.
Hakuna ubishi kuwa wote, well nisifanye sweeping generalization maana huchelewi kutaka datum ambayo kiukweli haya ni mawazo yangu tu na nimejiamisha tokana na kuyakabili mazingira. Kuwa na wivu wa maendeleo si kitu kibaya, kukinzana kwa ajili ya kurahisisha maisha si jambo baya, kutofautiana kwa ajili ya kujenga umoja si jambo la kukemewa. Kila mmoja ana mawazo sahihi kwa wakati sahihi, na leo nakukumbusha tu kuwa kuridhika si tabia ya mwanadamu. Tufanye tunayofanya kwa ajili ya kujiletea maendeleo na kurahisisha maisha. Popote ulipo hongera sana kapuku kwa kile unachofanya.
Muziki sasa, wakati wanaanza walikuwa watatu Nhlanhla Nciza, Theo Kgosinkwe na Tebogo Madingoane baadaye Tebogo mwaka 2004. Wanaitwa Mafikizolo, na pamoja na kifo cha Tebogo bado wameendelea kufanya vizuri katika muziki wakichanganya mitindo ya kisasa na ile ya jadi na kuwafanya kuwa ni kundi la kipekee ambalo maonesho yake huhudhuriwa na wapenda burudani wengi.
Burudika Kapuku muheshimika na kumbuka, wewe ni mtaalamu unayelifanya Jukwaa hili liwe la kipekee.
Baadaye tutakuwa na chaguo la Wapendanao na leo mtaasisi mwenzangu kajaa kwa chaguo lake