Makapuku Forum

1/Prince Luis Felipe
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Urenoaliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospitali tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi

Yaani jamaa alikuwa Mfalme kwa nusu saa tu
.
.
.
.
.
.
.
.

Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho

..................
 

Sasa Hapa ndo Ule Msemo wa ng'ombe wa kapuku hazai unapoingia
 
Muziki: Kwanini Isiwe Mbili Wakati Una Moja

Ni Jumatano leo na inaishiria, naamini hakuna ubaya nikijiaminisha kuwa umekuwa na siku nzuri sana leo ambayo ni mwangwi wa namna siku ya kesho itakavyokuwa. Kama haikuwa siku yako, worry not, kesho ni siku nyingine tena na kama ada, jua litawaka tena. usisubiri sana though.

Hakuna ubishi kuwa wote, well nisifanye sweeping generalization maana huchelewi kutaka datum ambayo kiukweli haya ni mawazo yangu tu na nimejiamisha tokana na kuyakabili mazingira. Kuwa na wivu wa maendeleo si kitu kibaya, kukinzana kwa ajili ya kurahisisha maisha si jambo baya, kutofautiana kwa ajili ya kujenga umoja si jambo la kukemewa. Kila mmoja ana mawazo sahihi kwa wakati sahihi, na leo nakukumbusha tu kuwa kuridhika si tabia ya mwanadamu. Tufanye tunayofanya kwa ajili ya kujiletea maendeleo na kurahisisha maisha. Popote ulipo hongera sana kapuku kwa kile unachofanya.

Muziki sasa, wakati wanaanza walikuwa watatu Nhlanhla Nciza, Theo Kgosinkwe na Tebogo Madingoane baadaye Tebogo mwaka 2004. Wanaitwa Mafikizolo, na pamoja na kifo cha Tebogo bado wameendelea kufanya vizuri katika muziki wakichanganya mitindo ya kisasa na ile ya jadi na kuwafanya kuwa ni kundi la kipekee ambalo maonesho yake huhudhuriwa na wapenda burudani wengi.

Burudika Kapuku muheshimika na kumbuka, wewe ni mtaalamu unayelifanya Jukwaa hili liwe la kipekee.


Baadaye tutakuwa na chaguo la Wapendanao na leo mtaasisi mwenzangu kajaa kwa chaguo lake
 
Chaguo La Wapendanao

Mtaasisi Nyagei chaguo lako la wimbo wa The Bangles kwenda kwa Linamo halijaachwa, na kiukweli umenipa kitu maana kuna wimbo huwa ninaupenda ila leo umenifanya nijue nani kauimba. The bangles wanapiga Pop music na nitaweka nyimbo zao mbili kwa ajili ya huyu Linamo unayevutiwa na kumpenda sana




Na huu ndiyo naupenda zaidi

 
Muziki wa Wadhamini

Naamini ukimya uliotamalaki humu kwa makelele haumaanishi mmelala bali mnavuta pumzi, kitu ambacho ni muhimu sana.

Kapuku nakushukuru sana na umuhimu wako humu, yes wewe unayesoma hapa hauelezeki, sina kipimio cha kupima umaarufu wako. Tumeamka asubuhi kwa magazeti na shululu , BBC na UF chini ya lianko langu lee empire , na tukashukuru kwa sala na Shunie . Nani hakuipitia historia ya leo nimwambie Jimena atukumbushe na kisha tukapata 10 kubwa na mtaalamu mwenyewe Bitoz , asanteni sana wadau. Na sisahau mambo ya michezo chini ya mtaasisi mwenzangu Nyagei

Sitaki kuharibu mchango wa mdhamini wetu wa usiku huu Shunie ambaye hatajali endapo nitawakumbuka wafuatao maana ninawakumbuka sana na wakiburudika na hizi nyimbo ni furaha kwangu, uko wapi husna muba , Arusha baridi limekufunika Clkey , mama wawili Tumosa unajua unavyonifanya kujisikia amani hapa unaniunga mkono kwenye harakari zangu, simsahau Mondray na Transcend mapumzikoni. Uko wapi Mkushi wa kusi , Mndali ndanyelakakomu ,mzeewakungoa , Madame S , koncho77 , dingimtoto , dumejeuri demi usipotee sana, Linamo , BlessedHope umemisika sana.

Mdhamini ambaye ambaye ni aunt yangu hatajali kuwataja wadau hawa hapa. Nisimkasirishe mdhamini kwa blah blah zangu akaninyima safari yangu muhimu.


na hapa anakuja Darasa na B. Pol


tuwe na usiku mwema makapuku wote
 
Binamu obe una ule msemo wako ukimalizia kuandika sijausikia siku nyingi nimeumiss ule unahusu bundle sijui samahani kwa kukumalizia bundle lako
 
Binamu obe jaman asante sana
ila nyimbo ya pili sio hiyo ya muziki jaman
inaitwa [HASHTAG]#tatu[/HASHTAG] kaimba ben pol kamshirikisha darasa sio darasa kamshirikisha ben pol
 
Asantee binamu
 
Nmeitika wito obe,shukrani kwa waliochagua burudani,mkiwa mnaenda kule mahali nko tayari kuwacndkiza hata yangeyange ntavaa kwa ajili yko
 
Ee Bwana uyasikilize maneno yangu ukuangalie kutafakari kwangu

Uisikie sauti ya kilio changu Ee mfalme wangu na Mungu wangu kwa maana wewe ndiwe nikuombaye

ZABURI:511:2
Muwe na usiku ulio mwema sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…