Ni kweli ila nazungumzia apate hizo 80 kibindoni alafu mane atibue kati make mapafu anayo kuanzia nyuma ya mstari mpaka ndani kabisaApo anatakiwa Coutinho awe kati.. Mane kulia Salah kushoto... Firminho false 9. Utastarehe.
Asante mama watoto, za kwako lakiniHbr ya jion baba watoto,pole na mihangaiko ya cku
Firminho yule sio mfungaji kabisaApo anatakiwa Coutinho awe kati.. Mane kulia Salah kushoto... Firminho false 9. Utastarehe.
Bado wiki mbili tu mbivu na mbichi tuzijueNi kweli ila nazungumzia apate hizo 80 kibindoni alafu mane atibue kati make mapafu anayo kuanzia nyuma ya mstari mpaka ndani kabisa
Ila ikitokea kudaadeeekiiii jamaa hajauzwa na Mane arudii jamvini weka na guu la dhahabu la Salah daaadeeekii Liverpool kama nawaona wakitesa kwa zamu ...ila mabeki ndo nina wasiwasii ...
Ila msimu hujao patakuwa patamu make hata westham kaamua ...
6/Joseph Goebbels
Alizaliwa 1897 na kujiua mwaka 1945 akiwa na umri wa miaka 47 Huyu alikuwa Kansela wa Ujerumani kwa muda wa masaa 5 pekee mwaka 1945 May 1
Wakati Vita Kuu ya Pili ikiendelea na Adolf Hitler kuonekana kuzidiwa akaamua kumteua swahiba wake Goebbels kuwa Kansela akiamini ni Waziri wa Propaganda ndo pekee anayeweza kumuokoa jahazi lake linalozama
Lakini hata kabla hawajaanza propaganda zao za Hamphrey Polepole wakagundua wamezingirwa hivyo kuamua kujiua
Jamaa kaonja ukansela masaa yasiyozidi matano pekee
.........................................
Zitaendelea baadaye
Usijali Van jik na keita watastabilize defence... Keita probably the best defensive midfielder on the planet. Hao Leipzig na Southampton wanasumbua mahakama tu... Watachota mzigo Wanataka Hawataki.Ni kweli ila nazungumzia apate hizo 80 kibindoni alafu mane atibue kati make mapafu anayo kuanzia nyuma ya mstari mpaka ndani kabisa
Ila ikitokea kudaadeeekiiii jamaa hajauzwa na Mane arudii jamvini weka na guu la dhahabu la Salah daaadeeekii Liverpool kama nawaona wakitesa kwa zamu ...ila mabeki ndo nina wasiwasii ...
Ila msimu hujao patakuwa patamu make hata westham kaamua ...
Huyu wa siku 2 nae katisha10/Sultan Khalid Bin Bargash
Huyu alikuwa Sultani wa Zanzibar mnamo mwaka 1869 baada ya kifo cha binamu yake lakini akaonja madaraka kwa siku mbili tu
Waingereza baada ya kusikia Bargash kawa kiongozi wa Zanzibar walimpa masaa 24 aachie madaraka kwa hiyari yake lakini akawagomea na kupelekea baada ya siku moja kupita Waingereza watume meli zao za kivita na wanajeshi
Hapo ndo ikazaliwa vita iliyojulikana kama Anglo Zanzibar War ambayo ilidumu kwa muda wa dk 38 pekee iliyoisha August 27 1869 na kuwa Vita fupi zaidi kuwahi kutokea duniani
Wakati wa vita hiyo Wazanzibar waliokufa na kujeruhiwa ni 500 wakati Mwingereza aliyeumia ni mmoja pekee, boti mbili zilizama
Hivyo jamaa alitawala kwa siku 2 tu
.............
Asante ankali, karibu sanaNimepita kuwasalimu tu...... Nawamiss
Halafu siku hizi wanalalamika teknolojia inaua sokaIla watu wanaumizwa tu
Ndo haohao shemela kuna shida kwaniKuna watoto wengine tofauti na jj
Salama kabisaAsante mama watoto, za kwako lakini