Makapuku Forum

9/Diasdado Cabello


Alizaliwa April 1963
Huyu bwana alionja Urais wa Venezuela kwa muda wa siku moja pekee baada ya Rais kujiuzulu kufuatiia kuonekana anasapoti ubepari
Hivyo Cabello akachukua madaraka kisha akamchagua Hugo Chavez kuwa Makamu wake halafu yeye mwenyewe akajiuzulu na Chavez kuwa Rais...mchezo ndo ulivyochezwa na kuisha kijanjajanja

Yaani kautumikia urais kwa muda wa siku moja pekee

..........
 
8/Ratu Tevita Momoedomu Alizaliwa Januari 13 1946
Huyu jamaa alikuwa Waziri mkuu wa Fiji katika muhula/vipindi viwili vifupifupi kama stuli za Tandae pae Manzese..
Mwaka 2000 alikaa madarakani kwa masaa mawili pekee wakati mwaka 2001 alikaa madarakani kwa siku mbili
Mwaka 2000 yalitokea mapinduzi/maasi ambapo yeye pekee akajikuta ndo amebaki kwenye jengo la serikali hivyo kuwa kiongozi kama ngekewa vile halafu mwaka 2001 akachaguliwa tena baada ya kuachia madaraka ili kukidhi matakwa ya kikatiba
...............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…