Nimeipenda babe love, I love you too Madame S wanguAsanteee sanaaa ubarikiwe mnoo
Bailly5 hope utaipenda
If it is wrong to love you, then my heart just wont let me be right
Coz am drawning in you, i give u my all
I had risk my life to be a yo body next to mine
I love you soooooo much hope u know my love
Madame S
Umeamini sasa cuzoo [emoji120]Kweli nimeanza kuamini Yale Maneno uliyoniambia kule mtaa wa pili[emoji137]
Nakosaje kwa mfano tutaonana huko cuzooSeries yake inaisha simba day. Usikose tafadhali[emoji23]
HaleluyaNjema sana sifa na utukufu kwa alie juu
Cuzoo we ni kutoa macho tu vipiii jamanVyedi[emoji15]
Awwww thanks boo[emoji7] [emoji7] [emoji7]Kwa kuwa sikuomba dedication kwa Dj mtaasisi imenibidi nirushe dedication mubashara kabisa kwenda kwa malkia wangu wa nguvu
Sijajua hawa vijana walipotea vipi kimuziki ikiwa walikuwa na uwezo mkubwa sana kimuziki anyway nisikuchoshe mpendwa wa Nyagei dedication yako ni hii hapa
WESTLIFE - IT'S YOU
Kila siku nakutambulisha humu shemeji yako sio mtembezi kabisa ujueTatizo unanitambulisha uchochoroni[emoji38] [emoji38]
Msalimie shemeji mwambie nitakuja nikishavuna.
Pande hizi ni poa tu stori kila ninapopita ni T. Lisu tuNzuri mkuu, vip pande hizo
Salama mshkaji wangu za wewe apoHabari za asubuhi
Niko poa kabisa mshikaji wangu, Lee mzima?Salama mshkaji wangu za wewe apo
Mzima kabisa jamaan sijui madame s anaendeleajeNiko poa kabisa mshikaji wangu, Lee mzima?
Asantee auntNiite Jimena Jimenes na mpaka hapo basi nakuwa sina la ziada kutoka katika meza ya historia..... Muwe na siku njema na furaha tele. Kwa udhamini mnono kabisa wa kauli za mkuu
Adios Amigo
Anaendelea vyemaMzima kabisa jamaan sijui madame s anaendeleaje
KmekuchaaaKumekucha ndugu zangu???
Nzuri mkuu, za pande hizoHabari za asubuhi
MamyHivi ulikua wapi lakini
MfundisheCuzoo we ni kutoa macho tu vipiii jaman
Huku fresh, sijui huko ulipoNzuri mkuu, za pande hizo
Mukeee ya pedesheeeeTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemela wangu shunie