mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Mtumiaji namba one.... Msifia mvua...??? Ila hata Mimi Nimeshangaa Sana kwamba Shululu Unatumia hii kituSitumii shemela, ukweli kutoka ndani ya nafsi yangu, ila faida ya bangi naijua, ni kubwa sana kuliko madhara
Nzuri jimena... Za kwako?.... Tunasubiri kwa hamu.Habari za asubuhi family! Leo katika historia itawajia hivi punde tu kutokana na mimi kubanwa na majukumu.
Karibuni sana
Nzuri kabisa ankali, za kwakoHabari za asubuhi family! Leo katika historia itawajia hivi punde tu kutokana na mimi kubanwa na majukumu.
Karibuni sana
AiseeLeo katika Historia
1978 - Louise Brown anazaliwa. Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwenye Test tube.
RIP abiria woteLeo katika Historia
2000 - Ndege ya Ufaransa " Concorde Air france flight 4590 " inapata ajali uwanja wa ndege wa Charles De Gaulle jijini Paris na kuua abiria 113.
Asante ankali kwa leo katika historiaNiite Jimena Jimenes na mpaka hapo basi nakuwa sina la ziada kutoka katika meza ya historia..... Muwe na siku njema na furaha tele. Kwa udhamini mnono kabisa wa kauli za mkuu
Adios Amigo
Kumekucha salama kabisa, za siku teleKumekucha ndugu zangu???
Kwahiyo shem umekuja alfajiriAbsolutely
Hivi ulikua wapi lakiniShunie
Mzeewakungoa situmii aiseeMtumiaji namba one.... Msifia mvua...??? Ila hata Mimi Nimeshangaa Sana kwamba Shululu Unatumia hii kitu
kho kho khoKwa kuwa sikuomba dedication kwa Dj mtaasisi imenibidi nirushe dedication mubashara kabisa kwenda kwa malkia wangu wa nguvu
Sijajua hawa vijana walipotea vipi kimuziki ikiwa walikuwa na uwezo mkubwa sana kimuziki anyway nisikuchoshe mpendwa wa Nyagei dedication yako ni hii hapa
WESTLIFE - IT'S YOU
Asante cuzoo umeamkaje lakiniHabari za asubuhi family! Leo katika historia itawajia hivi punde tu kutokana na mimi kubanwa na majukumu.
Karibuni sana
Amekuja, ilikuwa lazima atie timuKwahiyo shem umekuja alfajiri
Hbd BrownLeo katika Historia
1978 - Louise Brown anazaliwa. Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwenye Test tube.
Asante cuzoo kwa historiaNiite Jimena Jimenes na mpaka hapo basi nakuwa sina la ziada kutoka katika meza ya historia..... Muwe na siku njema na furaha tele. Kwa udhamini mnono kabisa wa kauli za mkuu
Adios Amigo
Shikamoo BabuNzuri jimena... Za kwako?.... Tunasubiri kwa hamu.