Kwa kuwa sikuomba dedication kwa Dj mtaasisi imenibidi nirushe dedication mubashara kabisa kwenda kwa malkia wangu wa nguvu
Sijajua hawa vijana walipotea vipi kimuziki ikiwa walikuwa na uwezo mkubwa sana kimuziki anyway nisikuchoshe mpendwa wa Nyagei dedication yako ni hii hapa
1961 - John F. Kennedy Rais wa 35 wa Marekani anatoa hotuba ya kutoa msisitizo kuwa mashambulizi iwapo Berlin itashambuliwa basi wao wanaamini Nato nzima itakuwa imeshambuliwa.
John F. Kennedy alikuja kuuwawa November 22 Mwaka 1963
1996 - Kunatokea Mapinduzi ya Kijeshi nchini Burundi ambapo Pierre Buyoya anaingia madarakani baada ya kufanikiwa kuipindua serikali iliyokuwa madarakani.
Niite Jimena Jimenes na mpaka hapo basi nakuwa sina la ziada kutoka katika meza ya historia..... Muwe na siku njema na furaha tele. Kwa udhamini mnono kabisa wa kauli za mkuu
Adios Amigo