Binamu yako anapenda sana kukuzingua...lol! Yaani muda wote huu ninapoongeaga kuhusu kipenzi changu huwa hunisikilizi jamani? Jina lake zuri kabeba jina la mama mkwe kulitajataja nitakosa penzi. Bado unataka nijibu nini aunt yangu
Binamu asante sana naweza kulala sasa Baba D popote ulipo jamaan ikufikie hii nyimbo hata binamu akisema upo na wahamiaji haramu kutoka wapi sijui
WoyoyooooooooooooMuziki wa Kipekee
Unataka niseme nini kila nikisoma au hata kujihisi tu kuwa ninasoma chochote anachoandika husna muba , nampenda hata kama kuniwekea dhamana ni ngumu, analijua hili. Ni smart, anavutia, mchangamfu (hivi kwanini isiwe mchangahai!!!) na ni mtulivu. Anajijua anapoongea na mimi ninakuwa kama niko paradiso na ukimywa wake unanifanya nijihisi vibaya.
Leo kachagua wimbo nami naufanya wimbo wa kipekee.
Hivi unalikumbuka gitaa la Pauline Zongo, utalisikia humu kwa mbali
Asante Husna kwa post ya Che G
Hapana cuzoo nimeacha kabisa babe hapendi hizo mambo ujueNimeona unaendeleza kipaji hapo
mjomba hebu niletee kalamu niongeze jina hili kwenye ile list ya wabaya wangu. Usichelewe
Asante shemela wangu ubarikiwe sanaAmen, Asante mtoto wa Mama mchungaji kwa neno la uzima
Nawe pia usiku mwema
Duh...kwani nimebisha mjomba, nilikuwa namjibu tu kuwa yule mhamiaji haramu wako anatokea Burundi, nyie hamuwezi kuachana hata ukienda ukakesha huko kama siku zile tulivyoendaga tukakaa wiki
Mambo hadharani, Shedede alie tuGood asante my love
Vyenye unajua vile nakupendaga
Shemela ujue hajamtaja jina nilitaka nijue ni naniiShemela umekuwa ujue
Babe yupi tena huyooHapana cuzoo nimeacha kabisa babe hapendi hizo mambo ujue
Unajua siwezi kufanya hivyo, hata anko anajua mimi niko upande wako all the time. Huwa hata ananichukia kisa niko upande wako. Akikuumiza huwa nakushauri hata tumpeleke polisi akashtakiwe kwa kukuumiza
Duh, upo si kwa kuadimika hukoHelloooo
Wahamiaji haramu hao shemela hawaishi kila siku binamu anawaleta tuu wa kila nchiwahamiaji haramu aisee
Yaan hata watokee congo binamu
eti hata ukienda ukakesha huko aisee me ni robot eenh binamu sina moyo
Nipoooo mzima wewe?Duh, upo si kwa kuadimika huko
Ubaya ubaya tu, yaani nyieUjue binamu we mwenyewe upo kwenye list ya wabaya wangu hapa tumekutana