Makapuku Forum

9/Kifua Kikuu Huu ugonjwa huenezwa na bacteria kwa njia ya hewa...huathiri zaidi mapafu lakini pia huweza kuenea hadi katika vuingo zingine
Mgonjwa hupoteza uzito kwa kiwango kikubwa
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Kifua Kikuu na mtu kuwa na VirusiVya Ukimwi
Husababisha vifo 1.4 Milioni kwa mwaka
..........
 
8/Saratani Saratani kutokea pale seli zinaposhindwa kufanya kazi(kufa}..ikumbukwe viungo vyote kwenye mwili wa binadamu vimeumbwa kwa seli hivyo basi kila kiungo kina saratani yake, wanawake hushambuliwa na saratani ya matiti na kizazi wakati wanaume ni tezi dume
Saratani husababishwa na sababu za kibaolojia. Uvutaji sigara n.k
Huu ndo ugonjwa uliowaua Kambarage Nyerere,Daudi Balali,Samwel Sitta huku Jakaya Kikwete akiponea chupuchupu kwa saratani ya tezi dume baada ya kuwahi matibabu
Husababisha vifo 1.5 milioni kwa mwaka
.........
 
Ugonjwa huu uusikie tu jaman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…