Makapuku Forum

Poa nishamaliza kupitia viporo pa kucheka pa kusmile [emoji4] na mm nikaangusha langu basi

Kapuku frm ni buruuudani mworooooro kabisaa ndio maana huwa sipendagi kupitwa na kitu

Hujachinja bata nije kunywa supu??!!
 
Baadaye bhana
Wasipoibuka tupotee & tupumzike tu kwa raha zetu hadi jioni/usiku

Week end njema
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…