Makapuku Forum

Afande shedede niaje
 
Wadhamini Wetu

Imekuwa ni siku ya taratibu leo humu jukwaani, hakuna ubaya, kila siku na siku yake. Kuna siku unapata na kushinda na kuna siku unakosa na kushindwa. Hii ndo inaitwa Nikomele
Asante Shunie kwa chaguo hili ambalo japo naona u-USA mwingi bado wamependeza sana


 
Asante binamu
 
Bora kumsubiri mbududa tu,amekuwassap kwenye no ya dogo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimpa no ya dogo aisee naona uvivu kusoma jamaan ngoja mbududa kesho aendelee tu sielewi kule ndio mambo ya elf 3 yapo vile me yamenishinda
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] binamu yangu mimi apa na baba d santeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…