Makapuku Forum

Makapuku Forum

Samahani kwa kuchelewa.

Leo katika Historia

1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11.
b7853ecce31151cea6c3b6b8762b1e7b.jpg
92ba8cc208890e8d4d982b38fcd9fcb7.jpg
ce0854556f852607218606419aacad2f.jpg

Limejengwa kwenye mto Nile
Liligharimu takribani USD 1 Billion
Kina ujazo wa cubin metres 44.3000,000
....
 
Kwa udhamini mnono kabisa wa Ximena's red Wine [emoji485] kuna sweet na dry pia, ambapo basi utajipatia red wine murua kabisa weekend hii iliyotengenezwa kwa pure zabibu.... Lita 1 kwa bei ya 12,000 tu na inapatikana kwa ujazo wa hadi lita 5
Leo katika historia haina la ziada! Niite Jimena Jimenes JJ
T G I F
Tukutane tena kesho kwenye historia muwe na weekend njema
Asanteee mamy kwa historia
 
Ngoja week end tujipigie vitu
Maisha yenyewe mafupi
Nikiwa swaff nitakutafute nijibebee japo kaglass kamoja nipoze machungu ya kuhangaishwa na mifugo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
 
Back
Top Bottom