Makapuku Forum

Makapuku Forum

2/Bull riding
12cef318ddf9b9099002813b55346924.jpg
1ffbaecf5ea215a549d0cf9f4d893df2.jpg
Mchezo huu wa kucheza na ng'ombe dume ni hatari
Hawa ni ng'ombe walioshiba wa miraba mine sio wale njaanjaa wa Chato na Kolomije
Ilitokea ajali mfano ya kukanyagwa unaweza kujikuta unajinyea kabisa,kuvunjika mbavu pamoja na kupasuka kiungo vya ndani
Wengi hufia hospitali wakipatiwa matibabu
Pia kipindi kingine ng'ombe hupandisha kichaa na kuanza kujeruhi mashabiki

........ :
......

Wazungu wanapenda kucheza hatari sana
 
1/Horseback Riding
2f38f6e0b0b9c91667e6aa2ae5e60bfd.jpg
871072f38fc92f92a821c36af7ce8163.jpg
7c677911af20be750ae243b69cd96cac.jpg

Unaujua uzito wa farasi aliyeshiba?
Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na farasi I,kuangukia kichwa n.k

.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
 
1/Horseback Riding
2f38f6e0b0b9c91667e6aa2ae5e60bfd.jpg
871072f38fc92f92a821c36af7ce8163.jpg
7c677911af20be750ae243b69cd96cac.jpg

Unaujua uzito wa farasi aliyeshiba?
Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na farasi I,kuangukia kichwa n.k

.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........

Assnte mdauuu ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom