Makapuku Forum

Sema hajatuliaa huyu cousin wako ...kamapenda michepukoo aka ...wee acha binamu wangu namuonea huruma na moyo wake ulivo na matege ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asee tulia anko mi niko cool hakuna mfano na mpendwa wangu anajua hilo

Ivyoooo yaani mworooooroooo kabisaa
 
huu ndio balaa sasa! maana unachezea mangumi ya kichwa.. lazima uwehuke
 
3/Cheer leading
Huu mchezo wa sarakasi za angani/kubebana huchezwa zaidi na wanawake
Na wenyewe unatajwa km miongoni mwa michezo hatari pindi inapotokea la kutokana mfano wanapokesea kukurusha au kukudaka utaweza kuanguka vibaya na kujeruhiwa au pengine kupoteza maisha
....... : ........
 
Watazamaji wanafaidi kuona vikyupi[emoji1]
 
Wachaaa machepeleee sass
 
2/Bull riding Mchezo huu wa kucheza na ng'ombe dume ni hatari
Hawa ni ng'ombe walioshiba wa miraba mine sio wale njaanjaa wa Chato na Kolomije
Ilitokea ajali mfano ya kukanyagwa unaweza kujikuta unajinyea kabisa,kuvunjika mbavu pamoja na kupasuka kiungo vya ndani
Wengi hufia hospitali wakipatiwa matibabu
Pia kipindi kingine ng'ombe hupandisha kichaa na kuanza kujeruhi mashabiki

........ : ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…