Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
6/ Hockey[ ]
Huu mchezo unaweza kuudharau lakini ni hatari kinoma
Sababu?
Wachezaji huvaa kofia ngumu na viatu vya kuteleza/matairi hivyo kusababisha mtu kuanguka kwa urahisi na pengine kujigonga ukutani pindi akisukumwa
Sasa pia unaweza kujikuta unateleza na kuchanika msamba
Huu mchezo unahitaji umakini mkubwa na nguvu
Mara kadhaa wachezaji hufanyiana ubabeubabe tu
..............
Najua Baba D wangu mie zaidi ujueUmemimisikaaa
Na sikio alilitafuna kisha kulitemaNdio namkumbuka ila mchezo pekee Wa ngumi niliowahi kuuangalia mie ni uleeee Wa Tyson kumng'ata sikio evander afu hata sikumbuki ulikuwa mwaka gn maana kitaambo saana enzi hizo bado sijawa muhenga
Waaaaaaaoooooh Thanks
Oooh mmeanza tena jaman we si unacopy mpendwa wa binamu tupia tu hata mara mbili
Ohoooo kumbeee basi majangaaNa sikio alilitafuna kisha kulitema
Ikashindiikana kuliunga
......
Nakupenda Baba D jamaanWaaaaaaaoooooh Thanks
Lini jamaan kumbe ushakuwa auntie woiiiii kutokuingia jf huku napitwa na mengi baba d jamaan uwe unanipa hizi habariutaisoma tu tuliza munkari anti yakee
Daaaaah umeongea kwa hisia kalii ...I feel it nd respecting it too....Nakupenda Baba D jamaanMungu azidi kuniwekea tu uendelee kuwa wangu tu jamaan Mungu mwenyewe anasababu zake kwa nini nakupenda wewe tu
Sema hajatuliaa huyu cousin wako ...kamapenda michepukoo aka ...wee acha binamu wangu namuonea huruma na moyo wake ulivo na matege ...Lini jamaan kumbe ushakuwa auntie woiiiii kutokuingia jf huku napitwa na mengi baba d jamaan uwe unanipa hizi habari
Lee ananitoshaHaina noma ilimradi niwe na ww
5/Football
Hapa tunaongelea mpira wa miguu wa Kimarekani(American football) pamoja na wa kawaida
Hapa watu hugonfana na kutumia vibaya au kuchezea na rafu za makusudiHapa Eduardo Da Silva akichezea kwanja <br />Haps Djibril Cisse akiwa kavunjika vibaya
Wengine hudondoka uwanjani na kufariki kama Marc Vivien Foe mmoja kati kiungo box to box bora zaidi kuwahi kutokea ambaye hakuwa na mbwembwe km za Pogba yaani nywele fupi kipilipili tu
:........
AsanteeeLee ananitosha
Lee ananitosha
Lini jamaan kumbe ushakuwa auntie woiiiii kutokuingia jf huku napitwa na mengi baba d jamaan uwe unanipa hizi habari
Taarifa ....
Mzee baba kashatua kitambo na shemela wetu...# Heathrow airport