Makapuku Forum

Asante kwa hii
Sasa umeirudia wakati muafaka
Wakati ambao tunaazimisha miaka kadhaa ya kifo cha Bruce Lee...... R I P Bruce
 
TOP TEN
Michezo ni furaha,michezo hukutanisha watu wa kila sina
Sasa leo tuangalie mivhezo kumi maarufu zaidi ambayo ni hatari kwa kusababisha majeruhi ni vifo vingi
Karibuni
......
 
10/Motorcross
Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufund
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…