Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Unashangaa tena?
Unashangaa tena?
SawaSijui nishasahau tena
Hatuquote story ndefuAsantee naona kitu kipyaa
Huyu kocha wa Liverpool anajitengenezea mtego wa hatari sanaLiverpool wapo tayari kutoa pauni milioni 70 kumsajili kiungo wa RB Leipzig Naby Keita, 22, baada ya dau la pauni milioni 66 kukataliwa. (Mirror)
Tuwe na mchana mwema ndugu....
Ila
Don't mess with Kansiime
Leo unajikana?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hicho kichwa cha habari nimekipenda mpaka kimeandikwa kuonesha ishara ya hatari na ni hatari kweliii ....tukisema wanaume wa Dar mnasema wa mikoani tunawaonea wivu ....ila pole yenuu wanaume wa Dar
Tuwe na mchana mwema ndugu....
Ila
Don't mess with Kansiime
AaminUBAHILI HAUFAI
1. Na yule afanyae ubahili na kujifahamu kuwa yeye si muhitaji kwa yeyote, na kukadhibisha jambo jema, basi Tutamrahisishia kupata taabu. Na mali yake haitamfaa atakapoangamia. Quran (92:8-11).
2. Na aepushwae na ubahili wa nafsi yake, basi hao ndio wenye kufaulu. Quran (64:16).
Ya Allah Tuepushe na ubahili ktk nafsi zetu tupate kufaulu mbele Yako. Allahuma ameen.
Review utaonaNimekuja...kunani?
AiseeNimekuja...kunani?
Litatengenezwa kutokana alikuwa ni daktari wa nini, kama ni wa mifupa, wa watoto, wa wanawake nk.
.
.
Napata picha jeneza la dr wa wanawake..teh teh

Unanipa kazi kuanza kuperuzi. Nimeachwa nini? Hebu mnidokezeReview utaona
Eti kunani wajameni?Aisee
BabyNimekuja...kunani?
Dk zero utaona deal done![]()
![]()
morata tayari au
KisaHusna msamehe Lee![]()
![]()
PoapoaKesho
Kwamba ??Leo unajikana?
KaribuuAsante mme mwee