Makapuku Forum

Kuhamia dodoma kwa serikali ni ndoto isiyoonekana kutimia ni ngonjera tu toka awamu ya pili mpaka ya jk na hata. Hii ninaona nayo itamaliza kutawala bila kuhamisha kazi za serikali dodoma ni jambo la kusubiri na kuona
Wafanyakazi juuuuuuuu ila naona kama tuko chini sana
Wafanyakazi day is today
 
Serikali kuhamia Dodoma itaendelea kuwa ndoto ya mchana kwakuwa serikali bado haijaweka mazingira ya wafanyakazi kuhamia huko.
Watu wengi wanapenda kukaa Dar kwakuwa kuna accessibility ya vitu vingi.
Kuhamia Dodoma itawezekana pale tu mazingira ya kufanyia kazi dodoma yatakuwa mazuri kama ya Dar es salaam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…