Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tukijiandaa kupata lunch ...salaam kwa wote watakaoweza kupata hicho japo kigodo cha mchane wengine ata jioni sio mbali tunaweza kufika japo wengi huwa tunajiuliza na kuna ubishii kweli

Wengine wanadai wanaweza kushinda na njaa mpka jioni wengine wanadai hawawez....

Huku wengine wakijidai kabisa kuwa ni rahis sana kulala bila kula yaani na njaaa ukilinganisha na mchana ...yote majibu unayo wewe ....

Anyway hayatuhusu ...ngoja tukaongeze siku...

Don't mess with kansiime. ...
 
Vichekesho vya Kansime havijawahi kumuacha mtu salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom