Sio tu mito Brazil ni miongoni nchi 5 kubwa kama sijakosea na safari tu kwa gari/ndege ndani ya Brazil kutoka Magharibi kwenda Mashariki au Kusini kwenda Kaskazini ni sawa au pengine kuzidi safari kutoka Mtwara hadi Misri
.......

Unajua anko, mimi huwa nina BP, mwanzoni ilikuwa ya kupanda na kushuka, sasa hivi unataka kuifanya ya kutambaa. Shunie tafadhari njoo uielezee hii B na H kabla sijachukua maamuzi ya kimkakati
Hivi nyie watu msinione nafurahi mnaanza kuniangamiza roho yangu, au nyie sio binadamu jamani isije mkawa ni wageni humu duniani?